Kiongozi mmoja wa mila na desturi wilaya ya Serengeti Ketuka akiongea na wazee wa mila wa koo ya Inchugu Kenokwe kata ya Mosongo kabla ya mkutano wao na jamii wa kutoa tamko la kukataza ukeketaji kwenye jamii yao,ambao umehudhuriwa na viongozi wa serikali,Mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti na Nyumba Salama .
Nuru Sanaa wakitoa elimu kwa wakazi wa kijiji cha Kenokwe kata ya Mosongo madhara ya ukeketaji
Wakazi wa kijiji cha Kenokwe wakiwa kwenye mkutano wa hadhara.
Wazee wa mila wakiwa wamekaa pamoja
William Mtwazi akitoa elimu kwa wakazi wa kijiji cha Kenokwe
0 comments:
Post a Comment