Burudani mbalimbali zilitawala makabidhiano ya mwenge wa Uhuru katika eneo la Krensi Loliondo wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha ,
Ngoma ya Masai ambayo wachezaji hurika na kutua pale pale hawasongi mbele wala kurudi nyuma
Mwenge ukikatiza maeneo ya hifadhi,raha ya utalii hiyo
Mbwembwe na madoido toka kwa wasanii mbalimbali zilihanikiza
Viongozi wa Mkoa wa Mara wakiwa wamejipanga tayari kwa makabidhiano
Saturday, September 2, 2017
Home »
» BURUDANI ZILITAWALA MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU MARA NA ARUSHA
0 comments:
Post a Comment