Simba wakiwa wamepumzika karibu na barabara ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti,watalii wengi wanaotembelea hifadhi hiyo huwaona wanyama hao kwa urahisi ikiwa ni tofauti na maeneo mengine.
Wametulizana
Hawana haraka
Wednesday, September 20, 2017
Home »
» SIMBA NI MIONGONI MWA VIVUTIO MUHIMU HIFADHI YA SENAPA
0 comments:
Post a Comment