Fahari ya Serengeti

Tuesday, September 19, 2017

WINGI WA MIFUGO ILIYOKAMATWA NDANI YA HIFADHI WACHANGIA BAADHI KUFA

 Baadhi ya wafugaji wa jamii ya Kimaasai wa kijiji cha Ololosokwan tarafa ya Loliondo wakihangaika kuwatoa ng'ombe waliokwama kwenye tope katika eneo walikokuwa wamehifadhiwa baada ya kukamatwa wakiwa ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti na wahusika kukimbia hali iliyopelekea Mahakama kutoa amri ya kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara.
 Ng'ombe 12 wanadaiwa kufa kutokana na mazingira ya kubanana na kukwama kwenye tope kufuatia mvua zilizonyesha katika eneo hilo la Krensi.







0 comments:

Post a Comment