Mshambuliaji wa Timu ya Mageta Fc ya Mjini Mugumu wilaya ya Serengeti Edward Mugweta ambaye amepeleka msiba timu ya Smartboys Fc(Wasafi wa Mjini)kwa kuwafunga bao 1-0 na timu yake kuibuka bingwa wa ligi ya Mapesa Cup ambapo wamejinyakulia ng'ombe wawili na mshindi wa pili ng'ombe mmoja ,wa tatu mbuzi wawili.
Dc Nurdin Babu katikati akiwa amekingwa na mwanvulo kutokana na mvua iliyokuwa inanyesha wakati anakabidhi zawadi kwa washindi,aliyeshika mic ni makamu mwenyekiti wa Sefa
Mashabiki wakiwa wamezunguka ng'ombe kabla ya kukabidhiwa washindi
0 comments:
Post a Comment