Fahari ya Serengeti

1 comment:

  1. HATIMAE VIGOGO WAONDOKA
    Ni waliokuwa wawakilishi wa kata Na vijiji nikimaamisha ndugu JUMA PORINI KEYA alie kuwa mwenyekiti wa kijiji cha MAKUNDUSI Na diwani wa kata ya NATTA wirayani SERENGETI kupitua tiketi ya CHADEMA amemwaga manyanga,.
    akiwasilisha ujumbe wake ndugu juma,polini,kwa njia ya simu amekili,kuhama Na,kuachia nyafhifa alizo nazo nazo,ndani ya Chama cha (CHADEMA) Na kukanusha tuhuma,anazopewa za kupokea TSH 25 MILON
    Na kusema kuwa angepewa pesa hizo angenunua gali,la kutembelea
    ameyasema hayo Jana Na,kukili kuwasilisha,barua yake,October 3 kwa mmurugenzi,wa wiraya ya Serengeti
    ndugu polini ameamua kujiunga,Na,Chama tawala,huku akisema,kuwa slichokifata kule Ni maendeleo,Na hata huku aliko zaliwa ha,a budi kuludi kuunga nuhudi shuguli za kimaendeleo Na,kuendana,Na,Kasi ya mh JPM
    Juma polini ambae aliingia,kwenye,siasa,mwaka 2010 Na kuomba wenyekiti wa kijiji cha,makundusi ,a,akakubaliwa Na,wananchi,wakamkabidhi,kijiji kupitia Chama,cha,chadema Na,kumpokonya cheo,hicho,ndugu JUMANNE KWIRO (CCM) Na baada ya miaka,mitano aliomba udiwani Na kupewa pia akabahatika kumpokonya ndugu JUMANNE MWIRO (CCM) kwa Mara nyingine
    pia alipofika halimashauli alibahatika kupata nafasi,ya mwenyekiti wa halimashauli ,ambapo ndugu jumanne kwiro Alisha wahi kuwa,makamu mwenyekiti

    hadi,kufikia hapo,hii,Ina maanisha Serengeti imekuwa huru,kutoka,Chama pinzani Na jimbo kurudi Chama tawala ,hii Ni baada ya Chama kupoteza mmbunge,mwenyekiti ,Na,makamu wake,Na kufanya,idadi ya madiwa,i 6 Na mmbuge 1 kujiondoa tangumwaka 2015

    ReplyDelete