Fahari ya Serengeti

Thursday, November 27, 2014

MATUKIO YA WIKI

 MGOGORO WA ARDHI WAPELEKEA KUKATWA PANGA

 MIGOGORO YA ARDHI IMEGEUKA KUWA MAJANGA KILA KONA HAPA NCHINI
 MTUHUMIWAAKITIBIWANCHINI YA ULINZI WA POLISI


 ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUGONGWA NA MCHOMOKO NYAMONGO

Wednesday, November 26, 2014

CHEREKO CHEREKO ZA HARUSI

 WANAMSINDIKIZA BIBI HARUSI KWA MGUU HUKU WAKICHEZA NGOMA YA KIKURYA,BIBI HARUSI ALILAZIMIKA KUTEMBEA KWA ZAIDI YA KILOMETA 12 KWA MGUU HUKU WASINDIKIZAJI WAKICHEZA

 BURUDANI ZINAENDELEA KILA WAFIKAPO ENEO MOJA .







Monday, November 24, 2014

BAADA YA KAZI NYINGI KUKAA KWA PAMOJA HUSAIDIA KUJIFUNZA ,HAWA NI WAANDISHI WA HABARI KAMPUNI YA MCL NYANZA

 WANAKULA,KUNYWA LAKINI WANATAFAKARI MAJUKUMU YAO
 MAMBO YAKIENDELEA NDANI YA LAKE HOTEL
 KAZI ZA UANDISHI HUSABABISHA USONGO ,LAKINI MPATAPO MUDA WA KUKAA PAMOJA HUIFANYA AKILI IZALIWE UPYA
 KILA MMOJA NA KINYWAJI CHAKE
 NYANZA INAKWENDAJE TOKA MACHI INAONEKANA WANAULIZANA
 KATA KIU HALI INAJONYESHA
 KAZI ZINAPANGWA NA KUTEKELEZWA KWA PAMOJA NI KAULI ZA HAWA MAJEMBE YA MCL
 JAMANI TUNAHITAJI KUONGEZA KASI YA UBUNIFU,MAANA TUNAONGOZA NA WENGINE WANAIGA..................................

Saturday, November 15, 2014

ZIARA YA MAFUNZO YA WANAFUNZO WA SHULE YA MSINGI LITTLE FLOWER MJINI MUSOMA


 WANAFUNZI WA SHULE YA LITTLE FLOWER YA MJINI MUGUMU WILAYANI SERENGETI WAKIANGALIA BAADHI YA VITU WALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI MUSOMA
 KUMBUKUMBU NI MUHIMU KAMA INAVYOONEKANA HAPO
 WANAFUATILIA MAMBO MBALIMBALI
 SISTA NAYE AKIJIPA RAHA MATIVILLA BEACH
 MTAALAM WA MAMBO YASAMAKI AKITOA MAELEZO KWA WANAFUNZI JINSI AMBAVYO WANACHAKATA MINOFU YA SAMAKI
 KIWANDANI
 MLINZI AKIWA KAZINI KIWANDA CHA SAMAKI
 ANABEMBEA KWA RAHA ZAKE
 WANAFUNZI NAO WAKAANZA KUJIPA NAFASI
 KIDUKU KINAENDELEA HAPO KAMA INAVYOONEKANA.

 WANAONYESHA UMAHIRI WAO,KILA MMOJA KWA STAILI YAKE KATIKA KUSAKATA MUZIKI
 ZIARA YA MAFUNZO YAENDELEA
WAKO MAKINI

SERIKALI YA KIJIJI CHA MAKUNDUSI YAANIKA MAFANIKIO YAKEKJ

 DARASA LA AWALI SHULE YA MSINGI KEWAMBOGO KIJIJI CHA MAKUNDUSI WILAYA YA SERENGETI ,MADARASA HAYO KATIKA SHULE ZA NYAKITONO,MAKUNDUSI NA KEWAMBOGO YALIJENGWA NA KIJIJI KWA KUTUMIA MAPATO YANAYOTOKANA NA UHIFADHI.
 MADARASA
 NYUMBA YA MWALIMU SHULE YA MSINGI KEWAMBOKO KIJIJI CHA MAKUNDUSI WILAYA YA SERENGETI NI MIONGONI MWA MAFANIKIO YA UONGOZI ULIOMALIZA MUDA WAKE.
 MADARASA HAYO NI MATOKEO YA UONGOZI ULIOMALIZA MUDA WAKE CHINI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI JUMA PORINI(CHADEMA)
 JENGO LA MADARASA
 NYUMBA YA MWALIMU
 NYUMBA YA MWALIMU
 MADARASA
 JENGO LA ZAHANATI
 VYOO
 KITUO CHA KUCHOTEA MAJI

 NYUMBA YA MWALIMU NYAKITONO SHULE YA MSINGI

 NYUMBA YA MWALIMU
 NYUMBA YA MWALIMU
 WANAFUNZI WAKIWA DARASANI
 AKINA MAMA WAKIPATA HUDUMA YA MAMA NA MTOTO
 ZAHANATI HIYO ILIKARABATIWA NA UONGOZI HUO

 WATOTO WA SHULE YA MAKUNDUSI WAKICHEZA,
 MICHEZO NI HAKI YA WATOTO
 JIKO
 WANAFUNZI WA SHULE YA MSOINGI MAKUNDUSI WAKIWA NA MAJI YA MATUMIZI YAO
 MICHEZO NI HAKI YA WATOTO HILO LIMEZINGATIWA KATIKA SHULE HII
 MICHEZO HUWASAIDIA KUKUZA UELEWA NA KUSHIRIKI VEMA KWENYA VIPINDI
 BURUDANI
 ALIYEKUWA MWENYEKITI WA SERIKALI YA KIJIJI CHA MAKUNDUSI JUMA PORINI AKITOA NASAHA ZAKE WAKATI WA KUVUNJA UONGOZI WA KIJIJI ILI KUANZA MCHAKATO WA KAMPEINI,KULIA KWAKE NI OFISA MTENDAJI WA KIJIJI HAMISI MECHANDI.
 BAADHI YA WALIMU NA WALIOKUWA WAJUMBE WA SERIKALI YA KIJIJI WAKIWA KWENYE HAFLA YA KUVUNJA UONGOZI BAADA YA KUWEKA WAZI MAFANIKO NA CHANGAMOTO ZILIZOWAKUTA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO WALIYOKAA MADARAKANI.
 BAADHI YA WAJUMBE WAKIWA KATIKA KIKAO CHA PAMOJA
 HAMISI MECHANDI OFISA MTENDAJI WA KIJIJI HICHO AKIKIRI KUWA UONGOZI HUO ULIFANYA VIZURI KWA SHUGHULI ZA MAENDELEO KWA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA UHIFADHI
 BEMBEA
 VIONGOZI WA CHADEMA NGAZI YA WILAYA WAKIWA PAMOJA BAADA YA KUHITIMISHA ZOEZI LA KUJIVUA MADARAKA ILI WAANZE MCHAKATO WA UCHAGUZI.
MIKAKATI YA KUSHINDA INAENDELEA KAMA INAVYOONEKANA HAPO.