Mimi ni mtumishi wa Mungu katika kanisa la AICT. Taaluma yangu imejikita katika mambo matatu. 1) MA:Katika usimamizi wa Elimu 2)PGDBA Usimamizi wa Biashara na Utawala 3) ADV. Dip. ya Theolojia. Ningependa kufanya kazi na kanisa lenu. Naomba mwongozo wenu.
Nawatakia utumishi mwema wa Bwana uliotukuka. Mungu awatie nguvu na hekima yake.
ReplyDeleteMimi ni mtumishi wa Mungu katika kanisa la AICT. Taaluma yangu imejikita katika mambo matatu. 1) MA:Katika usimamizi wa Elimu 2)PGDBA Usimamizi wa Biashara na Utawala 3) ADV. Dip. ya Theolojia. Ningependa kufanya kazi na kanisa lenu. Naomba mwongozo wenu.
ReplyDelete