Paroko wa Kanisa katoliki Mugumu Joel Marwa akiongoza sala maalum kwa ajili ya kuanza hija kutoka Mugumu hadi Kigango cha Kibeyo.
Maandamano yaliyoambatana na sala,maombi na kuabudu yanaendelea.
Wawata kwa zamu wanaongoza maandamano ya hija.
Maandamano yanaendelea.
Nyimbo na burudani mbalimbali zimeanikiza maandamano hayo.
Kituo maalum kwa ajili ya sala na kuabudu
Safari inaendelea
Wanakaza mwendo.
Furaha ilizidi walipokaribia kufika kituo cha hija.
Wawezeshaji wa hija toka Musoma hawakuwa nyuma katika safari hiyo ya kiroho.
Picha ya Pamoja baada ya kazi nzito ilipigwa
0 comments:
Post a Comment