Dc Serengeti Nurdin Babu kulia akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Uv ccm Taifa Kheri James jinsi wanavyojenga hospitali ya wilaya kwa michango ya wadau baada ya Serikali kutokutoa ruzuku kwa miaka mingi.
Mkt Uv ccm Taifa Kheri James akisikiliza kwa makini jinsi wananchi wanavyohangaika kutokana na kutokukamilika kwa hospitali ya wilaya.
Ziara inaendelea
Mwenyekiti ameahidi kufikisha kilio cha wilaya hiyo cha kukosa hospitali ya wilaya tangu ianzishwe ili serikali iweze kutoa fedha za kukamilisha ujenzi huo.
Mwenyekiti na timu yake wamefika Kituo cha Nyumba Salama na kutoa misaada mbalimbali kwa watoto waliokimbia kukeketwa wanahifadhiwa hapo.
Akpata maelezo toka kwa mmoja wa viongozi wa Nyumba Salama
Anasalimia na mtoto Salama anaishi Kituo cha Nyumba Salama
Mtoto Salama anapata zawadi ya fedha toka kwa mwenyekiti na viongozi wengine
0 comments:
Post a Comment