Fahari ya Serengeti

Monday, June 18, 2018

KIBEYO FC YAONJA USHINDI MAPESA CUP

Wachezaji wa Timu ya Msinki Fc na Kibeyo Fc wakiingia Uwanjani kwa ajili ya kuanza mtanange Mapesa Cup ambapo Kibeyo wameibugiza Masinki Fc mabao 2-0.

 Waamzi wakiongoza timu kuingia uwanjani




 Wanapata maji na gluecose
 Mawaidha toka kwa walimu.
 Shabiki akifuatilia mchezo
 Bao la pili kwa njia ya penati

 Anaokota kwa nyavu
 Majeruhi


0 comments:

Post a Comment