Dc Serengeti Nurdin Babu wa tatu kutoka kushoto waliosimama akiwa pamoja na walimu ,maafisa elimu,watendaji wa vijiji na maafisa wa amref health tanzania baada ya kukabidhi tuzo kwa shule za msingi tatu ,Bisarara,Kisangura na Bonchugu zilizofanya vizuri katika masuala ya usafi wa mazingira chini ya Mradi wa Usafi kwa Mazingira unaotekelezwa na amref health tanzania.
Mwalimu kutoka Kisangura shule ya msingi akipokea tuzo baada ya shule yake kushika nafasi ya pili
Dc na maafisa wa elimu na amref
William Mtwazi akitoa ufafanuzi
Wanafuatilia
Meneja mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti Godfrey Matumu akielezea kazi zinazotekelezwa na amref wilayani hapo.
Mwalimu wa afya toka Bonchugu akipokea tuzo baada ya kushika nafasi ya tatu.
wanafuatilia
Mwalimu wa Bisarara shule ya Msingi akipokea tuzo baada ya shule hiyo kushika nafasi ya kwanza.
Wakimeremeta na tuzo
Anafurahia ushindi
Picha ya Pamoja.
0 comments:
Post a Comment