Fahari ya Serengeti

Friday, October 31, 2014

MTUHUMIWA WA WIZI AKIWA ANAOMBEWA

Mtuhumiwa wa wizi wa sh 860,000 mtaa wa Sedeko wilayani Serengeti akiwa anaombewa na mchungaji wa kanisa la Pefa

Tuesday, October 28, 2014

MTUHUMIWA WA WIZI APANDISHA MAJINI BAADA YA KUKAMATWA

 Askari wa mgambo na wananachi wakiwa wamemdhibiti dada huyo mkazi wa mtaa wa Sedeko mjini Mugumu wilaya ya Serengeti kwa tuhuma za kukwapua sh,860,000 na kununua nguo,simu na vitu
 Yuko chini ya ulinzi na vitu alivyonunua akipelekwa ofisi ya mtendaji kata
 Kadhibitiwa


Sunday, October 26, 2014

Kongamano la kujadili mikakatiya kupambana na ujangili laweka maazimio

 wadau wa utalii wakifuatilia mjadala
DC wa Ngorongoro Elias Wawa Lali akiotoa maelezo kwa washiriki wa kongamano la kupambana na ujangili kwa wadau wa utalii walioko kanda ya ikolojia ya Serengeti lililoandaliwa na shirika la Sederec kwa ufadhili wa Mtandao wa Mazingira Tanzania.

Monday, October 20, 2014

LIGI DARAJA LA NNE NGAZI YA WILAYA YA SERENGETI KUANZA KUTIMUA VUMBI N0VEMBA

 RUTIGINGA FC YA MJINI MUGUMU YAANZA KUPIGA JALAMBA KWA AJILI YA LIGI DARAJA LA NNE NGAZI YA WILAYA

 MAZOEZI YANAENDELEA UWANJA WA POLISI MUGUMU
 HAPITI MTU HAPA
 MAANDALIZI YA LIGI DARAJA LA NNE NGAZI YA WILAYA YAPAMBA MOTO

WAAMZI NAO WAKIJIWEKA SAWA

SERENGETI MEDIA CENTRE KWA KUSHIRIKIANA NA SEDEREC WAENDESHA TAFITI ,NINI KIFANYIKE ILI KUDHIBITI UJANGILI WA TEMBO NA FARU

 Wakazi wa kijiji cha Bonchugu wilayani Serengeti wakijadili mikakati ya kudhibiti ujangili wa tembo ,na kuomba ushirikishwaji jamii ndiyo njia pekee
 Wanawake nao walishiriki,ingawa wanadai hamsini kwa hamsini lakini hawawezi kuzungumza mbele ya wanaume kutokana na mfumo dume.
Wazee walidai washirikishwe kikamilifu na kuomba kuwe na mipango inayonufaisha jamii iliyoko pembezoni mwa maeneo yaliyohifadhiwa,
 Wanafuatilia mjadala,picha zote na Serengeti Media Centre


YALIYOJIRI UCHANGIAJI WA CHUO CHA UTALII

 KABLA YA HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO CHA UTALII SERENGETI WAGENI WALIAMUA KUTEMBELEA CHUO NA KUONA NINI WANAWEZA KUSAIDIA

 MKURUGENZI WA UTALII WA KAMPUNI YA SINGITA GURUMETI RESERVES JASON TROLLIP AKIJADILIANA NA MENEJA WA CHUO CHA UTALII CHA SERENGETI SAMWEL PETER MARWA,NA KUAHIDI KUKAMILISHA JENGO LA UTAWALA KWA SH MILIONI 19.5
 WANACHUO CHA UTALII CHA SERENGETI WALISHIRIKI TUKIO ZIMA
 WAGENI WAALIKWA MR BENNY NA MKEWE  KUTOKA SHIRIKA LA GIZ
 HAPA WAGENI WAALIKWA WANATEKELEZA HITAJI LA RATIBA YA SHUGHULI,NI WAKATI WA CHAKULA

Sunday, October 19, 2014

WANANCHI WADAI UJANGILI UTAKWISHA KWA KUSHIRIKISHWA SI KUNUNUA SILAHA NA HELKOPITA

 WAKAZI WA KIJIJI CHA MISEKE KATA YA MANCHIRA WILAYA YA SERENGETI WAKIWA KWENYE  MKUTANO WA KUJADILI MIKAKATI YA KJUDHIBITI UJANGILI WA TEMBO,WAMEIOMBA SERIKALI ISIWE YA KUTOA MATAMKO BILA KUFANYA UTAFITI KWA NINI UJANGILI ULIPUNGUA MIAKA YA 80-90 NA KWASASA KWA NINI UMEONGEZEKA,WAFIKE VIJIJI WAAMBIWE,
 TEMBO AKILA MAZAO ASKARI HAWAFIKI,AKIUAWA TEMBO MAGARI HUJAA NA ASKARI,MAHUSIANO YA JAMII NA WAHIFADHI YANATAKIWA KUJENGWA KWA KUTATUA MATATIZO KWA PANDE ZOTE,WANANCHI WANADAI
 TUNADILIANA
 MAJADILIANO YANAENDELEA
 WANAWAKE WAKIJADILIANA KUHUSU TATIZO LA UJANGILI,PAMOJA NA KUDAI HAMSINI KWA HAMSINI HAWAWEZI KUJADILI MASUALA MBELE YA WANAUME.
 WANANCHI NDIYO WAHIFADHI WA KWANZA LAKINI MATATIZO YA UJANGILI YANAZUNGUMZWA MAREKANI,LONDON WAO HAWAFIKIWI ILI KUWEKA MIKAKATI YA PAMOJA NAMNA YA KUKABILIANA NA UJANGILI.
SERENGETI MEDIA CENTRE ILIPOKUTANA NA WANANCHI WAIISHIO KANDO KANDO YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI,MAPORI YA AKIBA NA HIFADHI YA JAMII ILIWAWEZESHA KUJUA NINI KINATAKIWA KUFANYIKA ILI KUKABILIANA NA WIMBI LA UJANGILI WA TEMBO KATIKA MAENEO YALIYOHIFADHIWA,USHIRIKISHWAJI JAMII NDIYO SILAHA YA KWANZA IMEELEZWA.

YALIYOJIRI KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO CHA UTALII SERENGETI

 WANACHUO CHA UTALII CHA SERENGETI WAKIWA ENEO LA HOTELI YA GIRAFFFE KABLA SHUGHULI HAIJAANZA
WANASUBIRI WAGENI
 WANAJADILIANA MAMBO MBALIMBALI

 MSOSI KWA WAGENI ULIANDALIWA KITAALAM
 KAZI NA DAWA
 MSOSI ULIANDALIWA KITAALAM

 MWENYEKITI WA BODI YA CHUO VICTOR RUTONESHA AKIWASHUKURU WAGENI WALIOFIKA NA KUCHANGIA UJENZI WA JENGO LA MAKTABA NA JENGO LA UTAWALA AMBAPO KAMPUNI YA SINGITA GRUMETI ILICHANGIA SH 19.5 MILIONI KWA AJILI YA KUKAMILISHA JENGO LA UTAWALA

MAMBO KAMA HAYO YANAPATIKANA MJINI MUGUMU

Wednesday, October 15, 2014

WAMKUMBUKA MWALIMU NYERERE KWA MCHEZO WA BAO

WACHEZAJI WA BAO WA MJINI MUGUMU WILAYA YA SERENGETI SIKU YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 YA KIFO CHA MWALIMU
MASHINDANO YANAENDELEA


Wednesday, October 8, 2014

MATUKI YA MCHEZO KATI YA IGWE FC YA MUSOMA NA RUTIGINGA FC


WACHEZAJI WA TIMU YA IGWE YA MJINI MUSOMA WAKIOMBA DUA KABLA YA KUANZA PAMBANO LAO NA TIMU YA RUTIGINGA FC YA MJINI MUGUMU SERENGETI KWENYE UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE MJINI MUGUMU
WACHEZAJI WA TIMU YA IGWE FC YA MJINI MUSOMA WAKIPAMBANA NA WACHEZAJI WA TIMU YA RUTIGINGA FC YA SERENGETI WENYE JEZI NYEUPE ,KATIKA PAMBANO HILO LA KIRAFIKI IGWE ILIIBUKA NA USHINDI WA MAGOLI 2-1.

Tuesday, October 7, 2014

KWA HABARI ZA KIJAMII,KITALII,MICHEZO NA SIASA TEMBELEA BLOG HII

TIMU YA RUTIGINGA FC NA STEELFIXER FC KABLA MECHI YAO YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA SHULE YA SEKONDARI NATTA WILAYA YA SERENGETI.
R
WAHITIMU WA DARASA LA SABA SHULE YA LITTLE FLOWER-SERENGETI