Fahari ya Serengeti

Wednesday, December 31, 2014

PARALEGAL WAJENGEWA UWEZO


 KATIBU TAWALA WILAYA YA SERENGETI COSMAS QAMARA AKISAINI KITABU KABLA YA KUFUNGUA MAFUNZO YA WASAIDIZI WA KISHERIA NA HAKI ZA BINADAMU SERENGETI,KULIA KWAKE NI AFISA MAENDELEO YA JAMII WILAYA WILAYA SUNDAY WAMBURA.

 WASAIDIZI WA KISHERIA WAKIWA WANAENDELEA NA MIPANGILIO YA MAFUNZO


 MAFUNZO YANAENDELEA
 MWEZESHAJI MILAMBO AKIENDELEA AKITOA DOZI KWA WASAIDIZI WA KISHERIA
 WANAENDELEA NA MAFUNZO

 ANAWASILISHA KAZI ZA VIKUNDI
 MWENYEKITI MTENDAJI WA SHIRIKA LA WASAIDIZI WA KISHERIA NA HAKI ZA BINADAMU WILAYA YA SERENGETI SAMWEL MEWAMA AKIWA NA MWEZESHAJI MILAMBO

 WANAFUATILIA MADA
 ANASISITIZA JAMBO
ANATOA ANGALIZO WASIJIGEUZE MAWAKILI

Saturday, December 13, 2014

WAKWEPA KUKEKETWA

WATOTO HAWA WAMEKIMBIA KUKEKETWA,MAANDALIZI YALIKUWA YAMEKAMILIKA IKIWA NI PAMOJA NA KUFUNGIWA HIRIZI ASIVUJE DAMU KAMA INAVYOONEKANA.
BAADHI YAWATOTO WALIKIMBIA KUKEKETWA WAKIWA KATIKA NYUMBA SALAMA KANISA LA ANGLIKANA MUGUMU SERENGETI.

Monday, December 8, 2014

MKUTANO WA INJILI WAFANYIKA

 WAUMINI WA MADHEHEBU MBALIMBALI WAKIFUATILIA UIMBAJI
 WANAMSIFU MUNGU KWA KUIMBA
 MPIGIE MUNGU KELELE ZA SHANGWE
 MTU HATAISHI KWA MKATE BALI KWA NENO LITOKALO KATIKA KINYWA CHA BWANA





Sunday, December 7, 2014

UZINDUZI WA BWALO LA POLISI SERENGETI

 RPC MKOA WA MARA PHILP KALANGI AKIKARIBISHWA ENEO LA BWALO
 RPC AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA WILAYA
 UZINDUZI UNAFANYIKA KAMA INAVYOONEKANA
 MAMBO YANAZIDI KUONGEZEKA
 MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI AKITOA UTARATIBU
 VINYWAJI VINAENDELEA
 BURUDANI ZILIKUWEPO
 ANATOA NASAHA ZAKE
 MAKAMANDA WAKIWA WAMETULIA
 KAZI NA DAWA KAMA INAVYOONEKANA
 CHAKULA KINAENDELEA
SUPER J

Friday, December 5, 2014

KAMPEINI ZA CUF MJINI MUGUMU SERENGETI

 KAMISHINA WA NCCR MAGEUZI MKOA WA MARA AKIWATAMBULISHA WAGOMBEA WA NAFASI ZA VITONGOJI MAMLAKA YA MJI MDOGO WA MUGUMU WILAYA YA SERENGETI KWA TIKETI YA CUF
 BAADHI YA WAGOMBEA WA VITONGOJI
 WAGOMBEA WAKIWA KWA PAMOJA

 VIONGOZI WA KIWA WANAJADILIANA
 HUYO NI MMOJA WA WANANCHI WALIOFIKA KWENYE MKUTANO
 WANASEMA WAKO NGANGARI
 JOSEPH MAGOIGA(RHOBI)ANATETEA NAFASI ALIYOKUWA ANAISHIKILIA

 BAADHI YA WANANCHI WAKIFUATILIA MKUTANO WA KAMPEINI
 HAPA NI UKAWA KWA KWENDA MBELE
 HII NI NJIA MOJAWAPO YA KIDEMOKRASIA YA KUWASIKILIZA WAGOMBEA ILI WAWEZE KUWA NA MAAMZI SAHIHI
 NA WAZEE WALIKUWEPO