Fahari ya Serengeti

Tuesday, September 27, 2016

BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MADAWATI ROBANDA

Benki ya Posta Tanzania yasaidia meza na viti shule ya sekondari inayojengwa katika kijiji cha  Robanda wilayani Serengeti ambayo inatarajiwa kufunguliwa mwaka kesho
Afisa Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Sebastian Moshingi akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu meza na viti 50 vyenye thamani ya sh 8 milioni kwa ajili ya shule ya sekondari inayojengwa katika kijiji cha Robanda

Majadiliano yanaendeleo

Dc Serengeti Nurdin Babu akishukuru baada ya kupata msaada huo ambao umepunguza ukubwa wa tatizo kwa asilimia 75 na madawati yanayohitajika kwa sasa ni 30.




Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akimkabidhi diwani wa kata ya Ikoma Michael Kunani kiti mara baada ya kukabidhiwa na afisa mtendaji mkuu wa benki ya Posta aliyeko kulia

KITUO CHAADHIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA

MENEJA MRADI WA TOKOMEZA UKEKETAJI WILAYA GODFREY MATUMU AKIMLISHA KEKI MKURUGENZI WA UTETEZI WA LHRC ANNA HENGA KEKI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 21 YA KITUO HAFLA ILIYOFANYIKA ANITA MOTEL MUGUMU SERENGETI NA KUHUDHURIWA NA WADAU MBALIMBALI WAKIWEMO ASKARI POLISI.

 Wanafuatilia
 Anna Henga akiwapa somo askari polisi namna ya kusimamia Haki za Binadamu

 KEKI KEKI
 MAANDALIZI YAKIPAMBA MOTO
 WALIPIGA PICHA YA PAMOJA



 MAANDALIZI YA KUKATA KEKI


 MKURUGENZI WA UTETEZI AKIMLISHA ASKARI POLISI TITUS MFURUKI KEKI

 PICHA MBALIMBALI ZILIPIGWA




Saturday, September 24, 2016

MAKAMANDA WA POLISI WAENDELEA KUPATA DOZI YA ATHARI ZA UKEKETAJI NA UKATILI WA KIJINSIA

 Makamanda wa polisi  Serengeti wanaohudhuria  semina ya athari ya ukeketaji na ukatili wa kijinsia chini ya Mradi wa Tokomeza ukeketaji Serengeti unaotekelezwa na amref health afrika na LHRC wakiwa na wawezeshaji katika picha ya pamoja .
 Kamanda Abdallah Iddy akiwasilisha kazi ya makundi
 Makanda wakiwa wanajadiliana kwenye makundi
 Kazi zinaendelea
 Ilipobidi kutafuta taarifa mbalimbali kwa kupitia Google walifanya kutumia simu zao za kisasa
 Mijadala kwenye makundi inaendelea


Kushiriki kikamilifu ni moja ya kanuni yao kama inavyoonekana hapo

Friday, September 23, 2016

POLISI SERENGETI WASHIRIKI MAFUNZO YA ATHARI ZA UKATILI WA KIJINSIA HASA UKEKETAJI

William Mtwazi afisa mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti unaotekelezwa na Amref health africa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC)akitoa malengo ya mradi kwa askari polisi wa wilaya ya Serengeti ambao wanashiriki mafunzo juu athari za ukeketaji kwa watoto wa kike wilayani humo.
Amewataka polisi kuhakikisha wanatekeleza vema wajibu wao kwa kushughulikia masuala ya ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji ili kuwanusuru watoto wa kike ambao ni wahanga wakubwa .
Askari polisi wakifuatilia maelezo ya malengo ya mradi kutoka kwa afisa mradi

Wanafuatilia mjadala

Hidaya Mkaruka afisa maendeleo ya jamii aliyebobea katika masuala ya Jinsia akitoa maelekezo ya kazi ya makundi
Kazi ya makundi
kazi inaendelea