Nje ya nyumba ya Marehemu Mandela,mawe hayo ni moja ya alama za watu wanaofika kutoa rambirambi,watu kutoka maeneo mbalimbali huandika kwenye mawe kama ukumbusho.
Makabila manne yanabeba historia ya Afrika Kusini Zulu,Sotho,Xhosa na Pedi na wageni wengi humiminika kwenda kujifunza historia mbalimbali za nchi hiyo hapa ni ni kwenye kituo cha Lesedi Siyanamukera.
Sun City kunapatikana mambo mbalimbali
Mwongoza wageni katika kituo cha asili cha Makumbusho cha Lesedi Siyanamukera Themba Meaya akielezea jinsi wanavyotengeneza chakula cha asili
0 comments:
Post a Comment