Fahari ya Serengeti

Monday, September 12, 2016

Waumini wa Msikiti wa Tawheed Islamic Centre Mugumu waswali swala ya Idd

 Waumini wa msikiti wa Tawheed Islamic Centre Mugumu Serengeti wakiswali swala ya Eid Al-hajji katika Uwanja wa Mbuzi Mjini Mugumu.
 Swala ikiendelea.









 Mwalimu wa Madrasa msikiti wa Tawheed Islamic Centre Mugumu Serengeti Ally Athuman akitoa mawaidha kwa waumini wake wakati wa swala ya Eid Al-hajji


0 comments:

Post a Comment