Makamanda wa polisi Serengeti wanaohudhuria semina ya athari ya ukeketaji na ukatili wa kijinsia chini ya Mradi wa Tokomeza ukeketaji Serengeti unaotekelezwa na amref health afrika na LHRC wakiwa na wawezeshaji katika picha ya pamoja .
Kamanda Abdallah Iddy akiwasilisha kazi ya makundi
Makanda wakiwa wanajadiliana kwenye makundi
Kazi zinaendelea
Ilipobidi kutafuta taarifa mbalimbali kwa kupitia Google walifanya kutumia simu zao za kisasa
Mijadala kwenye makundi inaendelea
Kushiriki kikamilifu ni moja ya kanuni yao kama inavyoonekana hapo
0 comments:
Post a Comment