Fahari ya Serengeti

Friday, September 23, 2016

POLISI SERENGETI WASHIRIKI MAFUNZO YA ATHARI ZA UKATILI WA KIJINSIA HASA UKEKETAJI

William Mtwazi afisa mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti unaotekelezwa na Amref health africa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC)akitoa malengo ya mradi kwa askari polisi wa wilaya ya Serengeti ambao wanashiriki mafunzo juu athari za ukeketaji kwa watoto wa kike wilayani humo.
Amewataka polisi kuhakikisha wanatekeleza vema wajibu wao kwa kushughulikia masuala ya ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji ili kuwanusuru watoto wa kike ambao ni wahanga wakubwa .
Askari polisi wakifuatilia maelezo ya malengo ya mradi kutoka kwa afisa mradi

Wanafuatilia mjadala

Hidaya Mkaruka afisa maendeleo ya jamii aliyebobea katika masuala ya Jinsia akitoa maelekezo ya kazi ya makundi
Kazi ya makundi
kazi inaendelea

0 comments:

Post a Comment