Fahari ya Serengeti

Saturday, May 9, 2015

ATANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE SERENGETI

Timu ya Mpira ya Nyakendo kata ya Machochwe wilaya ya Serengeti wakati wakipasha mwili jotokabla ya kuanza mchezo wakati wa mashindano yaliyoandaliwa na John Ryoba Mrema mtia nia ya Ubunge kupitia Chadema jimbo la Serengeti

Maandalizi ya mchezo yanaendelea
Baadhi ya watazamaji wa rika mbalimbali wakiwa wanafuatilia mchezo huo
Mchezo ni burudani hukutanisha watu mbalimbali.
John Mrema wa kwanza kushoto kwa waliokaa akifuatilia mchezo wa mpira
Hapo anakagua timu kabla ya kuanza mchezo

Mko sawa sawa vijana ?
Tuko Pamoja katika michezo

Hata wanafunzi wa shule ya msingi Machochwe walikuwepo wakifuatilia mchezo huo
Wanafuatilia mchezo







Anamwaga sera kutangaza nia yake ya kutia nia ya kuwania ubunge kupitia Chadema

Anatoa zawadi




Mshindi wa kwanza alipata sh 100,000
Tumeshindaa na mkwanja tunao
watu eeeeehh

HUU NI MKWANJA


,x

Wednesday, May 6, 2015

SERENGETI BILA UKIMWI INAWEZEKANA WAANZA KUFUNDISHA WAELIMISHA RIKA.

 RHOBI SAMWEL MRATIBU WA MRADI WA SERENGETI BILA UKIMWI INAWEZEKANA AKITOA MAELEZO KWA WAELIMISHA RIKA.
 Waelimisha rika kutoka kata za Kebanchabancha na Machochwe wakijadiliana namna ya kufanya kufikia jamii.



 Hii ni njia ya kujifunza kwa kutumia mpira ambapo kila mshiriki anawajibika kueleza nini alijifunza
 Mwezeshaji kutoka ofisi ya Maendeleo ya Jamii wilaya


 MMOJA WA WAELIMISHA RIKA AKITOA UFAFANUZI WA MAMBO WATAKAYOFANYA.

Tuesday, May 5, 2015

MEI MOSI BUTIAMA MARA