Fahari ya Serengeti

Tuesday, September 27, 2016

BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MADAWATI ROBANDA

Benki ya Posta Tanzania yasaidia meza na viti shule ya sekondari inayojengwa katika kijiji cha  Robanda wilayani Serengeti ambayo inatarajiwa kufunguliwa mwaka kesho
Afisa Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Sebastian Moshingi akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu meza na viti 50 vyenye thamani ya sh 8 milioni kwa ajili ya shule ya sekondari inayojengwa katika kijiji cha Robanda

Majadiliano yanaendeleo

Dc Serengeti Nurdin Babu akishukuru baada ya kupata msaada huo ambao umepunguza ukubwa wa tatizo kwa asilimia 75 na madawati yanayohitajika kwa sasa ni 30.




Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akimkabidhi diwani wa kata ya Ikoma Michael Kunani kiti mara baada ya kukabidhiwa na afisa mtendaji mkuu wa benki ya Posta aliyeko kulia

0 comments:

Post a Comment