Fahari ya Serengeti

Friday, September 9, 2016

WASAIDIZI WA KISHERIA WAJENGEWA UWEZO JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI



 Afisa mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti unaotekelezwa na mashirika ya Amref na LHRC William Mtwazi akitoa ufafanuzi kuhusiana na malengo ya mradi kwa wasaidizi wa kisheria na haki za Binadamu Serengeti(Wshehabise)

 Wasaidizi wa kisheria na haki za binadamu wakiwa kwenye kazi za makundi
 Kazi za vikundi zikiendelea.



0 comments:

Post a Comment