Fahari ya Serengeti

Friday, September 9, 2016

TATIZO LA MAJI MUGUMU LAMFIKISHA RC BWAWA LA MANCHIRA

 Mhandisi wa maji wilaya ya Serengeti Marwa Mulaza akitoa ufafanuzi kwa mkuu wa mkoa kuhusiana na tatizo la maji kwa zaidi ya miezi minne
 Ukaguzi wa maeneo ya mitambo ya maji ikifanywa na mkuu wa mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa


wananchi wanahitaji maji si maneno ni kauli ya Rc kwa mhandisi wa maji wilaya

0 comments:

Post a Comment