Mtanange kati ya Mageta Fc na Itununu Fc ukiendelea uwanja wa Sokoine Mugumu Serengeti ligi ya Mapesa Cup ambapo Mageta Fc imeshinda mabao 4-0.
Ngoma inaendelea.
Wanasalimiana kabla ya kuanza mpambano
Kaza msuli hapa si lelemama
Wanapeana huduma ya kwanza Mageta Fc
Mambo yanazidi kunoga
Wanapata mawaidha
Ni bao mwamzi anapeleka mpira kati baada ya Itununu kufungwa
mchezaji wa Itununu akiwa hoi chini baada ya kupigwa buti
Naondoka hivyo wewe utabaki na labda
Wanapeana mawaidha kabla ya mchezo
Mageta Fc
Itununu Fc
Mashabiki kwa raha zao.
0 comments:
Post a Comment