Fahari ya Serengeti

Sunday, June 3, 2018

WAUMINI KANISA KATOLIKI MUGUMU WAADHIMISHA EKARISTI TAKATIFU KWA MAANDAMANO

 Paroko wa Kanisa katoliki la Mtakatifu Fransisko wa Asizi Parokia ya Mugumu wilaya ya Serengeti Joel Marwa akiongoza waumini wa Kanisa hilo kuadhimisha sikukuu ya Ekaristi Takatifu kwa maandamano yakihanikizwa kwa nyimbo,ngoma na nderemo.
 Paroko Joel Marwa akiendesha ibada ya kuabudu Ekaaristi Takatifu  kwenye moja ya vituo.
 Ibada ya kuabudu ikiendelea.
 Waumini wa Jumuiya za Martin,Petro,Cecilia,Vicenti,Yohana na Stephano wakiwa kwenye kibanda chao Uwanja wa Sokoine mara baada ya kukamilisha maandalizi ikiwemo mapambo.
 Paroko Joel Marwa akitoa ufafanuzi wa umuhimu wa kuabudu Ekaristi Takatifu.
 Maandalizi ya vibanda

 Maandamano yakiendelea.

 Wakiserebuka kwa burudani na ngoma mbalimbali zilizopamba maandamano hayo ya ekaristi.
 Maandamano yakiendelea
 Hapa kila mmoja akionyesha staili yake ya burudani ikiwa ni moja ya vionjo katika maandamano hayo.


 Matendo ya kuabudu ekaristi takatifu yakiendelea.

 Wakieelekea kanisani kwa kuongozwa na wabeba msalaba(watumikiaji)





Kibanda cha Jumuiya ya Mt.Joseph,Maria,Benedictor na Bazili.

0 comments:

Post a Comment