Mchezaji wa Timu ya Polisi Fc kulia akijaribu kumtoka mchezaji wa timu ya Impala Fc katika Uwanja wa Sokoine Mugumu Serengeti ikiwa ni mwendelezo wa ligi ya Mapesa Cup,Polisi wameshinda maba0 6-0
Polisi Fc wakipasha mwili joto
Wanaingia uwanjani
Wachezaji wa Polisi Fc wakipata maelezo
Waamzi wakijiweka sawa
Mechi inaendelea
0 comments:
Post a Comment