Fahari ya Serengeti

Monday, June 18, 2018

AMBWENE AKONGA NYOYO ZA WANA SERENGETI

 Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ambwene akitumbuiza moja ya nyimbo zake katika uwanja wa Sokoine Mugumu Serengeti wakati wa mkutano wa Injili wa siku nne mjini Mugumu.
 Wanafuatilia
 Akienda kuimba
 Baadhi ya kwaya zikitumbuiza

 Wanafuatilia kwaya
 Wanamuimbia Mungu




 Makutano wakisikiliza kwaya na mahubiri



0 comments:

Post a Comment