Fahari ya Serengeti

Friday, June 1, 2018

KITUO CHA AFYA NATTA KUWA CHA MFANO


  Ded Serengeti Juma Hamsini akijadili jambo na Ofisa mtendaji wa Kata ya Natta na Mhandisi Astony anayesimamia ujenzi wa Kituo cha Afya cha Natta kupitia fedha zilizotolewa na Tamisemi mil 400,hata hivyo kutokana na ubunifu wao majengo mengi zaidi yamejengwa ikiwemo nyumba ya kisasa ya watumishi 6.
 Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi jengo la nyumba ya watumishi sita,huo ukiwa ni ubinifu wa wataalam kwa kuwa maelezo ya Tamisemi ilikuwa ni watumishi wanne.
 Fundi akiendelea na kazi ya kufunga Jipsam
 Mafundi wa mashimo ya maji taka wakiwa kazini
 Ded akisisitiza usimamizi na matumizi ya vifaa kama ilivyopangwa na kuwa wachakachuaji hawana nafasi kwake.
 Mafundi kazini hakuna kulala.
 Ukaguzi unaendelea huku maelekezo ya kazi nyingine yakiwa pale pale.
 Kazi inakwenda kwa kasi kubwa
 Baadhi ya majengo kazi zikiendelea

 Ukaguzi wa vifaa stoo unafanyika ikiwa ni sehemu ya kuhakikisha kazi inafanyika na kukamilika kwa ubora uliopangwa.

Kustukiza na kuingia maeneo ambayo hawakutarajia wasimamizi ni moja ya mbinu ya ufuatiliaji .

0 comments:

Post a Comment