Fahari ya Serengeti

Friday, June 8, 2018

MASINKI NA RWAMCHANGA FC ZATOSHANA NGUVU

 Timu za Masinki Fc na Rwamchanga Fc zimetoshana nguvu baada ya kufungana mabao 2-2 katik uwanja wa Sokoine Mugumu Serengeti ligi ya Mapesa Cup.


 Mchezo ukiendelea


 Walisalimiana kabla ya mtanange kuanza
 Mawaidha kutoka kwa walimu na mashabiki yanatolewa

 Msisitizo haukusahaulika
 Kipa wa Rwamchanga Fc Felix akilamba mchanga baada ya penati iliyopigwa kiufundi na mchezaji wa Masinki kujaa wavuni.

 Waamzi wakiwa kikazi zaidi

0 comments:

Post a Comment