Makundi ya watu mbalimbali wilayani Serengeti Mkoa wa Mara wakishiriki Futari nyumbani kwa mkuu wa wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Nurdin Babu. |
Waalikwa wakiendelea na futari nyumbani kwa mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu |
Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakifuturu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani Nyumbani kwa Mkuu wa wilaya ya Serengeti . |
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu mwenye kanzu nyeupe akiwakaribisha wageni waalikwa katika Futari nyumbani kwake |
Watu wakiendelea kupata Futari |
Afisa Uhamiaaji Henry Kilangwa nae alishiriki katika Futari |
Dc akiongea na wageni walifika kujumuika naye |
Wanawake mbalimbali nao walihakikisha wanafika katika hafla hiyo kupata Futari |
Wakiendelea kupata msosi |
Watoto nao hawakuwa nyuma kuhakikisha wanashiriki zoezi |
Wakiendelea kufuturu |
Mkuu wa wilaya Nurdini Babu kulia akiwashukuru wageni waliofika mara baada ya Kufuru |
Shekhe wa wilaya kushito akitoa neno la shukrani kwa waliofika kujumuika kwenye futari nyumbani kwa mkuu wa wilaya Nurdin Babu kulia. |
0 comments:
Post a Comment