Fahari ya Serengeti

Monday, June 11, 2018

NYAMIERI KIVUTIO CHA UTALII AMBACHO HAKIJATANGAZWA

Baadhi ya vijana wa Nyamieri kijiji cha Merenga wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakishuka mtoni kwa ajili ya kuchukua dagaa wanaoota jua kwenye mwamba
Kazi ya kutoa dagaa kwenye mwamba inaendelea
Wanaendelea
Wanasubiri zamu zao za kuingia
Dagaa kwenye mwamba






Maporomoko ya maji




Kivutio kizuri cha utalii

0 comments:

Post a Comment