Mwenyekiti wa Sefa wilaya ya Serengeti Vedastus Makaranga akikagua timu za Seronga Fc na Kibeyo Fc ambazo zimefungua dimba ligi ya Mapesa Cup ambapo Seronga Fc imeshinda mabao 3-0
Ukaguzi unaendelea
Wachezaji wa timu zote mbili wanasalimiana
Mawaidha kutoka kwa walimu wao
0 comments:
Post a Comment