Fahari ya Serengeti

Friday, November 14, 2014

WAJENGEWEZA UWEZO KUHUSU VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA

 Washirikiwa mafunzo ya kupinga vitendo vya ukatili kutoka makundi mbalimbali ya kijamii wilayani Serengeti wakiwa katika picha ya pamoja,mafunzo hayo yaliandaliwa na shirika la Wasaidizi wa Kisheria na Haki za Binadamu(Washehabise)
 wanafuatilia mada,
 Mwenyekiti mtendaji wa Washehabise Samwel Mewama akifuatilia mada
washiriki kutoka makundi ya wazee wa jadi,vijana,wanawake,mabaraza ya ardhi ya kata,madhehebu wakifuatilia mjadala

0 comments:

Post a Comment