Fahari ya Serengeti

Thursday, November 6, 2014

WANANCHI WADHAMIRIA KUMHAMISHA MWENZAO ANAYETUHUMIWA KWA MAUAJI

 Wakazi wa mtaa wa Bomani Mamlaka ya Mji wa Mugumu wilaya ya Serengeti wakiwa kwenye mkutano ulioitishwa kwa ajili ya kumhamisha mwananchi mwenzao anayeshikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji na kujeruhi,uamzi huo unatokana na wananchi kutokuwa na iamni na jeshi la polisi kuwa ataachiwa kwa kuwa matukio yake na wanaye yamekuwa hayashughulikiwi.
 mkutano unaendelea
 mpaka kieleweke
 Nguvu ya umma,imejipanga kisawasawa
 wanawake na watoto wao walikuwepo
 Anaongea kwa uchungu,akisisitiza lazima ahamisshwe
 Wanamsikiliza Ocd,kama vile hawamwelewi
 Mwalimu anasisitiza lazima ahamishwe mtuhumiwa na familia yake,
 Kazi kweli kweli
 Ocd Pius Mboko anatoa somo kwa wananchi wasichukue sheria mkononi
 Diwani wa kata hiyo Ryoba Marwa
 Mwenyekiti wa mtaa Nashon Mkondya anatoa ufafanuzi wa agenda iliyowakutanisha
Wanawake wanasema wako tayari kuchukua hatua,hata hivyo Ocd alifanikiwa kuzima jaribio hilo kwa kuwataka waandike maazimio yao yawasilishwe kwenye kamati ya ulinzi na usalama

0 comments:

Post a Comment