Dalali wa Kampuni ya Ubapa Co.Ltd ya Mjini Musoma Salum Jafari akinadi mifugo 618 kwa amri ya Mahakama iliyokamatwa ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti na eneo Tengefu la Loliondo na kukosa wenyewe,zaidi ya sh 34 mil imekusanywa kutokana na uuzwaji huo unaolenga kudhibiti uingizaji mifugo ndani ya maeneo yaliyohifadhiwa.
Timu ya madalali wa Ubapa Co Ltd wakikusanya mifugo.
Baadhi ya mifugo iliyouzwa
Uuzaji uliokuwa na ulinzi imara unaendelea
Wanunuzi wakiangalia mifugo
Tuesday, September 19, 2017
Home »
» MNADA WA HADHARA WA MIFUGO WAENDESHWA KWA UWAZI
0 comments:
Post a Comment