Timu ya Mageta Fc ya Mugumu Serengeti wakiwa katika picha ya Pamoja na viongozi wao baada ya mchezo baina yao na Smartboys Fc na kushinda bao 1-0 na kutwaa ubingwa wa Mapesa Cup na kuchukua ng'ombe wawili .
Timu ya Mageta Fc
Baadhi ya mashabiki wa timu ya Mageta Fc
Timu ya Smart boys fc
0 comments:
Post a Comment