Fahari ya Serengeti

Friday, September 1, 2017

MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA,WAJAWAZITO WAPEWA VYANDARUA

Ili kuttekeleza moja ya Ujumbe wa Mwenge mwaka huu,kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Amour Hamad Amour amegawa vyandarua kwa wajawazito katika zahanati ya Busawe wilaya ya Serengeti muda mfupi baada ya kuifungua kwa ajili ya kutoa huduma kwa wakazi wa kata hiyo na maeneo ya jilani.
Hata hivyo mkakati ni kukifanya kituo cha afya muda si mrefu.



Mradi wa kusindika unga wa Mhogo Kijiji cha Miseke


 Dc Nurdin Babu anapokea Mwenge kutoka kwa Dc wa Tarime eneo la Marasomoche
 Itifaki ikiwa imezingatiwa

0 comments:

Post a Comment