Fahari ya Serengeti

Saturday, September 16, 2017

BAYPORT BANK YATOA MSAADA WA KOMPUTA HALMASHAURI YA SERENGETI

 Meneja wa Bay Port Kanda ya Ziwa Mwanga Masumai akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Hamsini komputa mbili mpya kama mchango wao zenye thamani ya sh 2.4 mil,Kulia ni Meneja wa benki hiyo wilayani Serengeti Frank Mbua .
 Makabidhiano ya msaada wa komputa
 maandalizi ya komputa .

 Zinajaribiwa


0 comments:

Post a Comment