Gari la Halmashauri ya wilaya ya Serengeti likisukumwa baada ya kukwama ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wakati wanatoka kusindikiza Mwenge wa Uhuru eneo la Krensi kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha,hata hivyo safari iliendelea kama kawaida baada ya kulikwamua.
Monday, September 4, 2017
Home »
» SAFARI NI SAFARI HATA KAMA MVUA INANYESHA SANA
Kwa muonekano wa picha hii pengine huenda serengeti Media Centre wakawa na matawi huko hifadhini kwani wakipata wapi hizi information ogopa Journalists tupo kutafuta habari zinazoigusa jamii____Serengeti shall never die
ReplyDelete