Mc Gasaya (Mwalimu )akifungua Shampein katika moja ya mahafali kwa kufuata mapigo ya muziki ikiwa ni katika kunogesha shughuli zake,msema chochote huyo ambaye kitaaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi anazidi kutikisa anga za mkoa wa Mara kutokana na ubunifu wake awapo kazini,
Akiwa kazini
Baadhi ya wazazi wakishangilia mafanikio ya mtoto wao
Mlinzi maarufu shule ya Twibhoki akiwa kazini
Mambo ya mahafali
Monday, September 25, 2017
Home »
» MC GASAYA AZIDI KUTIKISA ANGA ZA MKOA WA MARA
0 comments:
Post a Comment