Fahari ya Serengeti

Saturday, September 30, 2017

KIKAO CHA WAZEE WA MILA MUUNGANO INCHUGU CHATOA TAMKO ZITO

 Wazee wa mila wa koo ya Inchugu Muungano wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara wakiwa nje ya Mstu mkubwa ambao wanadai ni ikulu yao katika kijiji cha Nyamakendo mara baada ya kikao chao ambapo wametoa azimio la kuwa koo hiyo haitajihusisha na ukeketaji na watakao kaidi...

MRADI WA TOKOMEZA UKEKETAJI SERENGETI WAWAKUMBUKA WAHUDUMU WA AFYA VIJIJINI

 Meneja wa Maradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti Godfrey Matumu kulia akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu msaada wa baiskeli na vifaa vingine vya kazi kama mabegi,tisheti na kofia  ukiwa na thamani ya sh 34 mil,kwa ufadhili wa UN WOMEN ,kwa ajili...

Thursday, September 28, 2017

JELA MIAKA 10 KWA KUKUTWA NA VIPANDE 7 VYA NYAMA YA NYUMBU

Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara imewahukumu washitakiwa wawili kwenda jela miaka 10 ama kulipa faini ya sh 5mil kwa kukutwa na vipande saba vikavu vya nyumbu vyenye thamani ya sh 1.4 mil. Akitoa hukumu Hakimu Amalia Mushi amesema washitakiwa Magasi Metache Nyantito(31)wa Parknyigoti na Thomas Ng'ora Mrengi(22)mkazi wa kijiji...

WAZEE WA MILA WATAKIWA KUTOBADILI MSIMAMO WAO KUHUSU UKEKETAJI

 Wakazi wa kijiji cha Bisarara kata ya Sedeco wilaya ya Serengeti wamewataka wazee wa mila wa koo ya Inchage kutokubadilika na baadae kuruhusu ukeketaji kuendelea katika jamii. Katika Mkutano wa wahadhara wa wazee wa mila katika kijiji cha Bisarara wamesema kuwa uamzi...

ILI KUPANDISHA HADHI ZAHANATI YA BUSAWE,HALMASHAURI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA WODI

 Halmashauri ya wilaya ya Serengeti imetakiwa kutoa fedha za ujenzi wa wodi zahanati ya Kisaka na kukamilisha baadhi ya majengo ili kuiwezesha serikali kuipandisha hadhi na kuwa Kituo cha Afya. Naibu Waziri wa Afya Dk Hamisi Kigwangala amesema kufanya hivyo kutakuwa kumeongeza...