Wanafunzi wa shule ya Mugumu B wilayani Serengeti wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kupata chakula kabla ya kupewa kinga ya magonjwa yaliyosahaulika.
Mwalimu Mollel wa shule ya Msingi Mapinduzi B akiwa akitoa huduma ya chakula kwa wanafunzi kabla ya kupata kinga ya magonjwa yaliyosahaulika.
Pokea msosi huo ili muweze kupata kinga vizuri
Msosi wa nguvu ulitolewa.
Kuna wakati wenye mabavu waliweza kupata msosi kwa haraka kama inavyoonekana hapo.
Kila mmoja alikuwa ili kukabiliana na nguvu za chanjo
Kazi ya kupata chanjo inaendelea kama inavyoonekana hapo.
Wanasubiri kila mmoja akiwaza namna atakavyopata kinga ya magonjwa yaliyosahaulika
Wanasubiri
Walimu wakiendelea na utaoji wa huduma,hata hivyo baadhi ya changamoto mbalimbali zilijitokeza ikiwemo kutapika na wengine kuanguka
0 comments:
Post a Comment