Baadhi ya wauguzi wa afya kutoka zahanati na vituo
mbalimbali vya afya Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara wakiwa kwenye makundi kwa
ajili ya kujadili mada mbalimbali zinazohusu madhara ya ukeketaji wakati wa
mafunzo ya kuwapa elimu ya kuwakinga na ukeketaji na ukatili wa kijinsia akina
mama wanaowahudumia kliniki kabla na baada ya kujifungua kupitia Mradi wa
TOKOMEZA UKEKETAJI SERENGETI,unaotekelezwa na AMREF health Africa,LHRC, WIZARA
YA AFYA,HALMASHAURI na Wadau mbalimbali
kwa ufadhili wa The United Nations
Entity For Gender Equity and the Empowerment of Women(UN Women) .
Wahudumuwa afya wakiwa kwenye makundi
Mganga Mkuu wa wilaya Salum Manyatta akitoa mada ya madhara ya ukeketaji.
Mjadala unaendelea ili kuhakikisha ukatili wa kijinsia ikiwemo ukeketaji unatokomezawa wilayani Serengeti.
Kila mmoja anashiriki kupitia makundi
Ushiriki wa kila kundi ulizingatiwa ili kukuza uelewa wa namna ya kuwahudumia akina mama waliokeketwa na kufanyiwa ukatili wa kijinsia kabla na baada ya kujifungua.
Mwezeshaji akiaanda ndo
Ilipobidi kusimama wakati wa mjadala walifanya hivyo kama inavyoonekana.
Meneja Mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti Godfrey Matumu akitoa ufafanuzi wa namna ya kuwasilisha kazi za makundi.
kila kunmdi likiwasilisha kazi yake.
Wanafuatilia mada
Uwasilishaji wa mada
Mjadala unafuatiliwa
0 comments:
Post a Comment