Fahari ya Serengeti

Tuesday, June 14, 2016

"TUTOKOMEZE UKEKETAJI"

 Afisa Mradi wa Amref wilayani Serengeti kutoka LHRC William Mtwazi akitoa ufafanuzi wa Sheria dhidi ya Ukeketaji kwa watendaji wa kata na maafisa tarafa wa wilaya ya Serengeti,ikiwa ni kuwajengea uwezo wa namna ya utekelezaji wa mradi huo wa miaka mitatu unaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa kupitia kitengo cha Kutokomeza Ukatili wa kijinsia,Mradi huo unatekelezea na mashirika ya Amref na LHRC.
Wanafuatilia mada kwa makini kama inavyoo nekana.
Add caption

 Miongoni mwa mada zilizotolewa.
 Nondo zinaendelea kushushwa.
 Afisa mtendaji wa kata ya BUsawe ambaye alikuwa mwenyekiti wa semina ya watendaji na maafisa tarafa.
 Uchangiaji wa mada ukiendelea kutoka kwa washiriki kama inavyoonekana hapo.
 Mada zinaendelea kutolewa.
 Zawadi kwa waliojibu vema zilitolewa
 Anapata zawadi

0 comments:

Post a Comment