Wajumbe wa kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Tokomeza Ukeketaji chini ya Amref na LHRC wakiwa kwenye picha ya Pamoja muda mfupi baada ya kuzinduliwa kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Maftah Ally kushoto akijadiliana na Sunday Wambura afisa maendeleo ya jamii wilaya wakati wa Uzinduzi wa Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Tokomeza.
Wanapitia agenda kabla ya kuanza kikao.
Baadhi ya wajumbe wakipitia nyaraka mbalimbali za mradi huo.
Meneja Mradi wa Amref Godfrey akitoa ufafanuzi wa utekelezaji wa mradi huo.
Friday, June 3, 2016
Home »
» KAMATI YA USIMAMIZI WA MRADI WA TOKOMEZA UKEKETAJI SERENGETI YAZINDULIWA CHINI YA SHIRIKA LA AMREF NA LHRC
Hongera Serengeti media centre kwa kuipasha habari jamii tunaomba mradi huu ulete mabadiriko chanya kwa jamii zetu
ReplyDelete