Mijadala inaendelea sana.
Hapa mjadala wa kuhusu ukatili wa kijinsia,hali za binadamu unaendelea.
Mambo yanazidi kuongezeka.
Mwezeshaji akimwaga sera kwa washiriki,
Uwasilishaji wa kazi za vikundi vinaendelea
Pilot akiandaa nondo.
Mwezeshaji wa mada ya ushauriwa kisaikolojia.
Dmo Salum Manyatta akiwa anatoa ufafanuzi.
Mtaalam wa Haki za Binadamu
0 comments:
Post a Comment