WP Sijali (Matron) wa dawati la Jinsia Polisi Mugumu akiwaeleza waganga na wauguzi hatua muhimu za kufuata wakati wa kumhudumia mwathirika wa Ukatili wa Kijinsia ,mafunzo hayo chini ya Mradi wa TOKOMEZA UKEKETAJI SERENGETI unalenga kuwakumbusha wajibu wao wa kuhudumia wahanga wa ukatili wa kijinsia ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike,kujaza PF3 na pia kutoa ushahidi wanapoitajika.
Kamnda Titus wa Dawati la Jinsia akimwaga nondo kwa waganga na wauguzi na kuwakumbusha wajibu wao ikiwemo kuwapokea wahanga na kuwahudumia hata kama hawana PF3,pia kutoa taarifa za uharifu,kutoa ushahidi mahakamani.
Moja ya Kikundi cha waganga na wauguzi wakiendelea na kazi ya kikundi kama inavyoonekana.
Kundi hilo liliamua kuaweka kazi chini na kuendelea kama inavyoonekana.
Mijada inaendelea ili kujenga ufahamu wajibu wa waganga na wauguzi katika kuwahudumia wahanga wa ukatili wa kijinsia.
Akiwasilisha kazi ya vikundi.
Wawezeshaji wanafuatilia mijadala baada ya kuwasilisha kazi ya makundi.
Anawasilisha.
DMO Salimu Manyatta akifafanua namna ya waganga na wauguzi wanavyotakiwa kujaza PF3
Thursday, June 23, 2016
Home »
» DAWATI LA JINSIA POLISI LAWAFUNDA WAGANGA NA WAUGUZI NAMNA YA KUHUDUMIA WAATHRIKA WA UKATILI WA KIJINSIA
0 comments:
Post a Comment