Fahari ya Serengeti

Tuesday, June 14, 2016

MAFUNZO YA KUTOKOMEZA UKEKETAJI SERENGETI KWA WATENDAJI WA KATA NA MAAFISA TARAFA

 Afisa Mradi wa Mradi wa Amref Godfrey Matumu akifafanua namna ya utekelezaji wa mradi huokwa watendaji wa kata na maafisa tarafa,Mradi huo wa Tokomeza unatekelezwa na Mashirika ya Amref na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kwa ufadhili wa Umoja wa Mataifa kitengo cha kutomoeza Ukatili.kushoto ni Afisa Mradi William Mtwazi toka LHRC.Mradi huo unatekelezwa kwa miaka mitatu.
 Mganga Mkuu wa wilaya ya Serengeti Salum Manyatta akifungua mafunzo hayo ambapo amesisitiza kuwa mradi huo unalenga kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia wilayani humo hasa suala la ukeketajikwa watoto wa kike.
 Dk Manyatta akisisitiza jambo.
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa ikiwemo ,Sheria na Haki za Binadamu,Unyanyasaji wa kijinsia na madhara yake,Sheria zinazopinga ukeketaji na adhabu yake.
 Anafuatilia Mada
 Mijadala inaendelea.

 Meneja anasisitiza jambo.

Sote kwa pamoja tutaweza kutokomeza ukeketaji inaonekana anasisitiza .


 Maoni mbalimbali yakitolewa kwa kila mshiriki.
 Mkurugenzi wa Shirika la Wasaidizi wa Kisheria na Haki za Binadamu (Washehabise)Samwel Mewama akitoa mada ya haki za binadamu kwa washiriki.


 Masomo Popote ,washiriki wakijadili mada kwenye vikundi kama inavyoonekana.
 Mijadala inaendelea.

 Mijadala kwenye

 Uwasilishaji wa kazi za vikundi inaendelea kama inavyoonekana hapo.
 Anawasilisha kazi za vikundi


0 comments:

Post a Comment