Fahari ya Serengeti

Wednesday, June 22, 2016

WAUGUZI NA WAGANGA SERENGETI WAOMBWA KUHUDUMIA WAHANGA WA UKATILI WA KIJINSIA KWA UPENDO.



 Menaja wa Miradi na Ujengaji Uwezo wa Amref health africa Tanzania Dk Pius Chaya akitoa ufafanuzi wa Mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti kwa Wauguzi na Waganga kutoka zahanati,vituo vya afya ,sekta binafsi wilayani Serengeti,amewataka kutoa huduma kwa upendo kwa wahanga wa ukatili,Kulia ni meneja Mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti Godfrey Matumu.
 Dk Chaya anasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili yao,na pia waweze kuwa msaada kwa waathirika kwa ukatili wa kijinsia kwa kutoa ushauri wa kisaikolojia.


 Baadhi ya wauguzi na waganga wakifuatilia maelezo ya Meneja wa Amref juu ya shirika hilo linavyotoa huduma mbalimbali katika jamii hapa nchini.

 Anasisitiza jambo

Wanafuatilia.

0 comments:

Post a Comment