Joseph Pilot Mtaalam wa Tehama Amref health africa Tanzania akielezea hatua za kufuata ili kupata taarifa kwenye Majibu Platfom ikiwemo za namna ya utendaji,kusoma habari mbalimbali zinazomsaidia kutekeleza majukumu yake,kupata ushauri kutoka kwa Mental wake ,njia hiyo inatarajiwa kutumiwa na waganga na wauguzi wilayani humo kusaidia kutoa taarifa mbalimbali ikiwemo ukatili wa kijinsia (Ukeketaji)kupitia Mradi wa Tokomeza Ukeketaji Serengeti unaotekelezwa na Amref Tanzania,Lhrc,Wizara ya Afya,Halmashauri ya wilaya na wadau mbalimbali wa maendeleo chini ya Ufadhili wa Women UN.
Mtaalam wa Tehama Pilot akiwa anafuatilia mjadala namna ya kutumia It kwa waganga na wauguzi namna ya kuingia kwenye Majibu Platfom.
Meneja Miradi wa Amref Tanzania Dk Pius Chaya akitoa ufafanuzi wa matumizi ya teknolojia ya habari kupata taarifa,habari na kutoa taarifa maeneo mengine na kuchangia taarifa kati ya mganga na waganga au muuguzi na wauguzi wenzake wilayani Seregeti.
Anatoa maelekezo namna ya kuingia na kusajiliwa Majibu Platfom
Usajili wa wauguzi na waganga
Wanafuatilia mjadala.
Wanafuatilia namna ya kujisajili na namna ya utendaji kwenye mtandao huo.
Kazi inaendelea.
Waganga na wauguzi wakiandika mambo muhimu ya namna ya kuingia kwenye Majibu Platfom
Mmoja wa mwezeshaji akiwa anaandaa nondo.
Wenye simu za Smartphone wakiendelea na mchakato wa kujiunga na Majibu Platfom
Mmenielewa?
Hizo ndizo hatua zinazofuatwa.
Thursday, June 23, 2016
Home »
» WAGANGA NA WAUGUZI SERENGETI WAFUNDISHWA MATUMIZI YA MITANDAO KUPATA TAARIFA MBALIMBALI-SERENGETI.
0 comments:
Post a Comment